Monday, September 19, 2016

Taasisi ya Kiswahili na Sanaa (KINASA) Inakutaarifu kua kutakua na onesho la wazi 25/9/2016 Jumaapili katika bustani ya Mtaa wa Ruvuma Shule ya Msingi Madenge Temeke kuanzia saa 9 Alasiri hadi 12 Magharib (jioni)
   Kiingilio ni bure, hivyo unaombwa kuudhuria ili kufahamu mambo mbalimbali yanayousu Lugha yetu Adhim ya Kiswahili.

Kutakua na burudani mbalimbali na wasanii tofautitofauti watakaotumbuiza, pia kutakua na bidhaa mbalimbali zitakazouzwa, zilizoandaliwa na kinasa.

VENUS MOBILE ZINAPATIKANA TANZANIA SASA