Friday, December 29, 2017

LONG VISION TANZANIA & HEBEI RUIFUXIANG MACHINERY CHINA

Long Vision business Pro kwa kushirikiana na Hebei Ruifuxian Machinery tunauza machine za kisasa za uvunaji na uchanaji miti  (magogo).
tafadhali wasiliana nasi kwa mahitaji.


Monday, September 19, 2016

Taasisi ya Kiswahili na Sanaa (KINASA) Inakutaarifu kua kutakua na onesho la wazi 25/9/2016 Jumaapili katika bustani ya Mtaa wa Ruvuma Shule ya Msingi Madenge Temeke kuanzia saa 9 Alasiri hadi 12 Magharib (jioni)
   Kiingilio ni bure, hivyo unaombwa kuudhuria ili kufahamu mambo mbalimbali yanayousu Lugha yetu Adhim ya Kiswahili.

Kutakua na burudani mbalimbali na wasanii tofautitofauti watakaotumbuiza, pia kutakua na bidhaa mbalimbali zitakazouzwa, zilizoandaliwa na kinasa.

Saturday, July 16, 2016

VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA


Vipo Kigamboni Dar ZOO, Vinauzwa kwa Square Meter ni 339.
kuanzia 1mil-5million
wahi sasa kabla nafasi hazijaisha.
LONG VISION BUSINESS
0716 016566/ 0777 720117
lvbusiness.prom@gmail.com


Wednesday, June 29, 2016

ZAMA MPYA


ZAMA MPYA ni Gazeti Jipya Sasa lipo Mtaani, Jipatie Nakala yako sasa kwa Habari Kemkemu za kusisimua  kama vile:
  •  Siasa 
  • Makala 
  • Michezo na Burudani
  • Hadithi Mbalimbali za kusisimua
Pia unaweza Kutangaza biashara yako kupitia  Gazeti lako la Zama Mpya sasa.
Tupo Bondeni Hotel, Magomeni Mapipa
P.O.Box  90159            
Mobile:   0746 20 20 00
Email:     info@zamampya.com
Web:       www.zamampya.com


VIWANJA VINAUZWA CHAMAZI AZAM


                  Viwanja Vinauzwa Chamazi Karibu na Uwanja wa Azam Complex.

1. Vipo 3 ukubwa wa 50-40m2
2. kipo ukubwa wa 70-50m2
3. kipo ukubwa wa 75-60m2
 Changamkia fursa hii bei zetu ni za kawaida wasiliana nasi 
@Long Vision Business
0777 720 117 / 0718 016 566
lvbusiness.prom@gmail.com
longvisionbusiness.blogspo.com




 



VENUS MOBILE ZINAPATIKANA TANZANIA SASA